Usajili wa Kikundi

Sajili Kikundi Chako

Jaza taarifa za mwenyekiti pamoja na taarifa za kikundi. Baada ya kusajili, utaingia kama Mwenyekiti na utaweza kuweka mipangilio muhimu ya kikundi, ikiwemo hisa, riba ya mikopo na uwezo wa kukopesheka.

Taarifa za Mwenyekiti Mwenyekiti ndiye ataanza kutumia mfumo kwanza
Mipangilio ya Kikundi Baadaye utaweka masharti na viwango vya kikundi chako

Sajili Kikundi

Jaza fomu hapa chini kwa usahihi ili kuunda akaunti ya kikundi.

A

Taarifa za Mwenyekiti

Huyu ndiye atakayekuwa mtumiaji wa kwanza wa mfumo kwa kikundi hiki.

Hiari, si lazima kujaza.
Tumia namba itakayokuwa username ya kuingia kwenye mfumo.
Nenosiri lenye nguvu linapendekezwa.
Hakikisha linafanana na nenosiri la juu.
B

Taarifa za Kikundi

Jina hili litaonekana kwenye mfumo, ripoti na sehemu nyingine muhimu.

Tumia jina rasmi au jina ambalo wanachama wako wanalitambua.