Mfumo Salama wa VICOBA

Vicoba Management System

Simamia wanachama, hisa/akiba, mikopo, marejesho, michango ya kijamii, faini na ripoti kwa urahisi, haraka na kwa usalama ndani ya mfumo mmoja wa kisasa.

Wezesha Akaunti: Kwa mwanachama au mtumiaji mpya aliyesajiliwa na uongozi kuweka password kwa kutumia namba ya simu.
Gharama zetu
VicobaPlus Logo
Wanachama Usajili na usimamizi rahisi
Michango Hisa, jamii na faini
Ripoti Taarifa za fedha na maendeleo

Usajili wa Wanachama

Ongeza na simamia wanachama wa kikundi kwa mpangilio mzuri na kumbukumbu salama.

Hisa / Akiba

Rekodi michango, ufuatilie malipo, na thibitisha miamala kwa urahisi.

Mikopo & Marejesho

Omba, thibitisha na fuatilia mikopo pamoja na marejesho yake kwa uwazi.

Ripoti & Export

Pata ripoti muhimu za fedha na exports za PDF, Excel au CSV kwa matumizi ya viongozi.

Haraka kutumia
Salama kwa data
Nzuri kwa simu na desktop
Mfumo mmoja wa kila kitu

Mfumo wa Usimamizi wa VICOBA Tanzania

VicobaPlus ni mfumo wa kisasa wa usimamizi wa VICOBA unaosaidia vikundi kusimamia wanachama, hisa, mikopo, marejesho, faini na ripoti kwa urahisi.

Mfumo huu wa Vicoba Management System umeundwa kwa ajili ya vikundi vya kijamii na kifedha Tanzania ili kuboresha uwazi, usalama wa data na ufanisi wa shughuli za kila siku.

Kwa kutumia VicobaPlus, viongozi wanaweza kufuatilia mikopo, kusimamia michango, na kutoa ripoti kwa haraka bila kutumia makaratasi.