Bei na Mpango wa Matumizi

Gharama za Mfumo wa VicobaPlus

Chagua mfumo wa kisasa wa kusimamia wanachama, hisa, mikopo, marejesho, faini, mapato, matumizi na ripoti za kikundi chako kwa urahisi na usalama.

Majaribio ya Mfumo

Siku 14 bure

Kikundi kipya kinaweza kupewa muda wa majaribio ili kuona namna mfumo unavyofanya kazi kabla ya kuanza kulipia.

  • Jaribu mfumo moja kwa moja
  • Tazama dashboard na reports
  • Pima urahisi wa matumizi
  • Uamuzi kabla ya malipo

Jinsi ya Kulipia

Baada ya kufanya malipo, tafadhali tuma uthibitisho wa muamala kwa WhatsApp ili huduma yako iweze kuanzishwa haraka.

Lipa Mixx by Yas
Lipa Mix by Yas Number
Verified
7070810
Jina: Fayam Technologies Ltd
NMB Account
Bank Account Number
Verified
51610034742
Jina la Akaunti: Fayam Technologies Ltd
Tuma Uthibitisho wa Muamala kwa WhatsApp:
0718337728

Mawasiliano

Kwa usajili, maelezo ya bei, kuanzishiwa trial au msaada wa mfumo, wasiliana nasi kupitia njia zifuatazo:

Simu
0766574792
WhatsApp
Email
info@shariavicoba.com
Tovuti
shariavicoba.com

Maswali ya Mara kwa Mara

Je mfumo unafaa kwa kikundi kidogo?

Ndiyo. Mfumo unafaa kwa vikundi vidogo, vya kati na vikubwa vinavyotaka usimamizi wa taarifa kwa usahihi.

Je tunaweza kuanza kwa trial kwanza?

Ndiyo. Kikundi kipya kinaweza kupewa muda wa majaribio kabla ya kuanza kutumia mfumo rasmi kwa malipo.

Je mnaweza kusaidia kuingiza taarifa za mwanzo?

Ndiyo. Mfumo una support ya kuingiza initial balances kama hisa, mikopo, social fund na faini zilizolipwa.